Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu wanawake maarufu kama Twiga Stars Jana iliweza kuwadhihirishia watanzania kwamba wako fiti baada ya kuilaza mabao 8 - 1 timu ya wanawake ya Eritrea,mchezo uliofanyika katika uwanja wa Uhuru.Hongereni sana Twiga Stars kwa kututoa Kimasomaso watanzania.



No comments:
Post a Comment