Timu ya Taifa ya vijana Maarufu kama Ngorongoro Heroes jana imeweza kutoka kifua mbele baada ya kuichapa timu ya Taifa ya Malawi mabao 3-1.sasa Ngorongoro imefuzu kucheza katika fainali za mataifa ya Africa kwa vijana.ambapo itavaana na timu ya Taifa ya Vijana ya Ivory Coast.Saturday, May 1, 2010
NGORONGORO HEROES YATOKA KIFUA MBELE KWA MALAWI NA KUFUZU KUSONGA MBELE.
Timu ya Taifa ya vijana Maarufu kama Ngorongoro Heroes jana imeweza kutoka kifua mbele baada ya kuichapa timu ya Taifa ya Malawi mabao 3-1.sasa Ngorongoro imefuzu kucheza katika fainali za mataifa ya Africa kwa vijana.ambapo itavaana na timu ya Taifa ya Vijana ya Ivory Coast.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment