
Mwanamuziki AY akishangilia tuzo aliyoipata ya Wimbo Bora wa Reggae.

Msanii Daimond akifurahia moja ya tuzo zake alizozipata ikiwa ni pamoja na mwanamuziki bora anayechipukia na wimbo bora wa R&B aliyokabidhiwa na Iman Madega wa Yanga.

Mwanamuziki toka nchini Marekani Sean Kingstone akimkabidhi Bwana Misosi mtoto wa home tuzo ya wimbo bora wa Reggae.
No comments:
Post a Comment