
Familia ya Wanamuziki Mzee Zahir Zoro wakifurahia tuzo aliyoipata mzee wao Zoro.

Mzee Yusuphu akifurahia tuzo alizopata ya kwanza ni wimbo bora wa Taarabu na ya pili ni Mtunzi bora.

Mpoki wa Ze Comedy akimkabidhi zwadi Gadna G Habash kwa niaba ya Mkewe Lady Jay Dee alishinda mwanamuziki bora wa Kike.
No comments:
Post a Comment