Leo tena katika michuano ya kagame Timu ya Simba Sports Club imepoteza mchezo wa pili katika ligi hiyo baada ya kuchapwa na timu ya URA toka Uganda kwa mabao 2 - 1.
2morrow Recordz ni studio ya kisasa iliyopo katika jiji la Tanga,maeneo ya Nguvumali.Tunarekodi miziki ya aina yote.karibu sasa upate ofa maalum ya bei.
No comments:
Post a Comment