SIKILIZA NYIMBO ZA EASYMEN HAPA:


Electronic Press Kit
Quantcast

Tazama Small Interview ya Easymen Studio Hapa:

Friday, May 14, 2010

GADNA G HABASH (KAPITEIIIN) NA JUDITH WAMBURA (LADY JAYDEE) WATIMIZA MIAKA 5 YA NDOA YAO LEO.!!!

Tunashukuru MUNGU kwa kila jema alilotujaalia mpaka muda huu, pumzi ya uhai ndio kitu kikubwa kuliko vyote. Milima na mabonde, vizingiti na mito, maziwa bahari kwa uwezo wake tu tutavuka.
Miaka 5 ya urafiki na miaka 5 ya ndoa. 5+5 = Jumla 10Tumeshakuwa kama kaka na dada, more than friendsMimi nahesabu bado miaka 35 nifikie malengo kama ile anivessary nilioipost juzi; Itimie miaka 40 au ikibidi hata 50MUNGU BARIKIIjumaa tutakuwa Zhong Hua kama kawaida tutasherehekea hapo, na yoyote atakae penda kuja kujumuika na sisi anakaribishwa. Machozi Band itaunguruma kama kawaida.
Wadau Lady JD & Gadna G. Habash

http://ladyjaydee.blogspot.com/

Blog hii ya Easymen inapenda kuwatakia kila la kheri katika kusherehekea siku hii ya leo ambayo ni kumbukumbu muhimu sana katika maisha ya kila mwanadamu.
Mungu awape uzima tele na afya njema na maisha ya furaha ana amani katika ndoa yenu.

No comments:

Post a Comment