SEAN KINGSTONE ATEMBELEA OFISI ZA CLOUDS FM NA KUFANYA INTERVIEW JANA JIONI!!
Sean Kingstone akirudi Hotelini baada ya kutoka Clouds Fm.
Sean Kingstone akiwa ndani ya Studio za Clouds Fm pamoja na Crew aliyoongozana nayo kuja Tanzania wakifanya Inteview katika kipindi cha XXL jana Jioni.
2morrow Recordz ni studio ya kisasa iliyopo katika jiji la Tanga,maeneo ya Nguvumali.Tunarekodi miziki ya aina yote.karibu sasa upate ofa maalum ya bei.
No comments:
Post a Comment