Kwa mara nyingine tena muigizaji nguli nchini Steven Kanumba anakuja katika mzigo mpya uliondaliwa na kampuni ya Game 1st Quality akimshirikisha aliyekuwa miss Tanzania Wema Sepetu mzigo unaojulikana kwa jina la WHITE MARIA.Soon mzigo huu utakuwa mitaani ni mwanzoni tu mwa mwezi wa sita. Usiikose
Sunday, May 9, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment