Baadhi ya wanachama wa Club E wakipata viurosho urosho vya kusogeza muda.
Wanachama pamoja na wageni waalikwa wakiyarudi magoma kutoka kwa Bendi ya Tanzanite Band.
Kapten G.(Gadna G Habash) kutoka Clouds Fm Radio na pia ni mtoto wa Home Tanga.alikuwa ndio muendesha Shughuli wa siku hii.
Wanamuziki wa Band ya Tanzanite wakiwaburudisha wageni waalikwa na wanachama wa Club E.katika Party iliyoandaliwa na Embassy iliyofanyika Jijini Tanga katika Hotel ya Mkonge.
No comments:
Post a Comment