SIKILIZA NYIMBO ZA EASYMEN HAPA:


Electronic Press Kit
Quantcast

Tazama Small Interview ya Easymen Studio Hapa:

Monday, May 3, 2010

MWANAMKE MMOJA AANGUKA GHAFLA KATIKATI YA JIJI JIONI HII.

Baadhi ya wananchi wakimshangaa mama mmoja jina halikuweza kupatikana.baada ya kuanguka ghafla katikati ya jiji la Tanga.inasemekana alikuwa ametoroka Hospitali ya Mkoa ya Bombo.
Baadhi ya wananchi wakimsaidia mama aliyeanguka ghafla jioni hii.

Pia inasemekana ana ugonjwa wa kuanguka mara kwa mara.lakini baada ya kusachiwa na wasamaria wema wakina mama wenzake ili kuweza kutambua jina lake waliweza kumkuta na paketi ya dawa ambazo huenda anatumia.


No comments:

Post a Comment