Timu ya Taifa ya vijana Maarufu kama Ngorongoro Heroes jana imeweza kutoka kifua mbele baada ya kuichapa timu ya Taifa ya Malawi mabao 3-1.sasa Ngorongoro imefuzu kucheza katika fainali za mataifa ya Africa kwa vijana.ambapo itavaana na timu ya Taifa ya Vijana ya Ivory Coast.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment