SIKILIZA NYIMBO ZA EASYMEN HAPA:


Electronic Press Kit
Quantcast

Tazama Small Interview ya Easymen Studio Hapa:

Saturday, May 15, 2010

MATUKIO NA PICHA MBALIMBALI TUZO ZA KILI MWAKA 2010.

Familia ya Wanamuziki Mzee Zahir Zoro wakifurahia tuzo aliyoipata mzee wao Zoro.
Mzee Yusuphu akifurahia tuzo alizopata ya kwanza ni wimbo bora wa Taarabu na ya pili ni Mtunzi bora.

Mpoki wa Ze Comedy akimkabidhi zwadi Gadna G Habash kwa niaba ya Mkewe Lady Jay Dee alishinda mwanamuziki bora wa Kike.

No comments:

Post a Comment