Sean Kingstone akishuka ndani ya gari huku Body Guard wake akiwa pembeni.
Sean Kingstone akichukua matukio na camera yake kwa ajili ya kumbukumbu ya Tour yake nchini Tanzania.
Sean Kingstone akiwa kwenye ziara kwenye kiwanda cha TBL ambapo aliona jinsi bia zinavyozalishwa.
Akiwa na Crew yake kuelekea kwenye sehemu ya kupata chakula cha mchana.
No comments:
Post a Comment