Hasheem Thabit akimkabidhi Tuzo C PWA aliyechukua mshindi wa Video bora ya Mwaka.
Ephraim Mafuru na Mwamvita Makamba kutoka Vodacom wakimkabidhi tuzo Banana Zoro aliyeshinda Mwanamuziki bora wa kiume.
Mussa na Lisa kutoka TBC 1 wakimkabidhi tuzo Khalid Chokoraa kutoka Twanga Pepeta aliyeshinda Rapa Bora wa bendi.
Mwanamuziki wa Raggae Innocent Nganyagwa akimkabidhi AT tuzo aliyoshinda ya Wimbo bora wa kushirikiana (NIPIGIE) aliofanya na Stara Thomas.
No comments:
Post a Comment