Mie pamoja na mdau mwenzangu Kassam ambaye ni Excutive Secretrary wa Easy Men Comp na mie ni Mtunza vihela. tukishow love kabla ya kupiga Ibada mchana huu.
2morrow Recordz ni studio ya kisasa iliyopo katika jiji la Tanga,maeneo ya Nguvumali.Tunarekodi miziki ya aina yote.karibu sasa upate ofa maalum ya bei.
No comments:
Post a Comment