SIKILIZA NYIMBO ZA EASYMEN HAPA:


Electronic Press Kit
Quantcast

Tazama Small Interview ya Easymen Studio Hapa:

Wednesday, February 23, 2011

SEMINA YA WASANII WATEULE WA TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS YAFANYIKA LEO JIJINI DAR !!!!


Meneja wa Kinywaji cha Kilimanjaro Premium Lager,George Kavishe akifafanua jambo leo jioni kwenye Semina ya wateule wa Tuzo za muziki Tanzania (Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2011)ndani ya moja ya ukumbi wa Hoteli ya Paradise.

FID Q na F.A ndani ya Semina ya Kili Tanzania Music Awards.

Mwanamuziki Mkongwe wa Raggae hapa nchini,Innocent akitoa ufafanuzi kwa wasanii wa muziki waliofika kwenye semina ya wateule wa Tuzo za muziki Tanzania.(Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2011.) ndani ya moja ya ukumbi wa Hoteli ya Paradise.

Muwakilishi wa Kampuni ya mahesabu ya Innovate ambao watasimamia upigaji/kuhesabu kura katika Tuzo hizo Bw, Leornad Chacha akifafanua jambo mbele ya wasanii wateule wa Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards namna ya upigaji kura wa Tuzo hizo zitakazofanyika March 26. 2011.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya ajulikane kwa Jina la Shaa akiuliza swali katika semina hiyo.

Mwanamuziki Mkongwe wa Taarabu,Hadija Kopa akiuliza swali kwa wahusika wa Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2011.




No comments:

Post a Comment