Saturday, February 5, 2011
KOMRED ALI CHOKI AKOMBA VIFAA VYA TWANGA PEPETA !!!
Kiongozi wa bendi ya Muziki wa Dansi ya EXTRA BONGO,Ally Choki(katikati mbele)akiwa na wanamuziki wapya kutoka bendi ya African Stars,Twanga Pepeta,wakati wa mkutano wa waandishi na habari,alipokuwa akiwatambuliasha wanamuziki hao kwa waandishi wa habari.
Wanamuziki hao waliojiunga na bendi hiyo ni,Rogert Hega Katapiler,Rapa wa bendi hiyo Soul John (Furguson)ambaye aliibuka katika bendi hiyo hiyo ya Extra Bongo na kiongozi wa wanenguaji wa Twanga Super Nyamwela,Danger Boy na Otilia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment