SIKILIZA NYIMBO ZA EASYMEN HAPA:


Electronic Press Kit
Quantcast

Tazama Small Interview ya Easymen Studio Hapa:

Saturday, February 5, 2011

MAADHIMISHO YA MIAKA 34 YA KUZALIWA KWA CCM YAFANA MJINI DODOMA LEO!!!


Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi(CCM)Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru wanachama wa CCM walioshiriki matembezi maalum ya maadhimisho ya miaka 34 ya kuzaliwa CCM Mjini Dodoma leo asubuhi.(Picha na Fredi Maro).

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Raisi Jakaya Kikete (wa tatu kushoto) na mkewe Salma kikwete (wa nne kushoto)wakiwaongoza wanachama wa CCM wa mkoa wa Dodoma katika matembezi ya sherehe za maadhimisho ya miaka 34 ya kuzaliwa CCM mnamo mwaka 1977.Kulia ni Katibu mkuu wa CCM Yusuph Makamba na wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dodoma.

Baadhi ya wanachama wa CCM wa mkoa wa Dodoma wakishiriki matembezi maalum ya kuadhimisha miaka 34 ya kuzaliwa chama cha mapinduzi.Matembezi hayo yalianza katika Ofisi za CCM Mkoa na kuishia katika bustani ya mwalimu nyerere mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment