RAISI WA ZANZIBAR DR ALI SHEIN AWAJULIA HALI WAATHIRIKA WA MABOMU YA GONGO LA MBOTO !!!
Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein akizungumza na wabunge wa mkoa wa Dar es salaam nje ya wodi ya Muhimbili baada ya kuwajulia hali waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto jana jijini Dar es Salaam.
2morrow Recordz ni studio ya kisasa iliyopo katika jiji la Tanga,maeneo ya Nguvumali.Tunarekodi miziki ya aina yote.karibu sasa upate ofa maalum ya bei.
No comments:
Post a Comment