o
Mfumo wa mawasiliano kwa njia ya SMS kati ya wananchi wa Bumbuli na mbunge wao Ndg Januari Makamba yamezinduliwa tarehe 29 January kwenye semina elekezi aliyoitisha mbunge huyo kwa viongozi na watendaji wa vijiji na kata wapatao 250 wa jimbo la Bumbuli.
Mfumo huo utaanza kutumika kanzia February 10 mwaka huu wa 2011 baada ya kipindi cha elimu kwa wananchi juu ya matumizi ya huduma hii kukamilika.
Zaidi tembelea www.januarymakamba.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment