Tuesday, February 1, 2011
MATUKIO KATIKA PICHA LEO JIJINI TANGA !!!
Soko huria la Nguo jijini Tanga maarufu kama Tangamano siku ya leo Jumanne.ambapo soko hili hufanyika kila siku za Jumanne, Alhamisi na Jumamosi.
Leo mchana mandhari ya kipita shoto cha Mabanda ya Papa jijini Tanga.hapa ndipo njia ya kwenda wilaya ya Pangani inapoanzia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment