Thursday, February 17, 2011
RAIS JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA ENEO LA TUKIO KULIPOLIPUKA MABOMU NA KUWAFARIJI WANANCHI !!!
Amiri Jeshi mkuu Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wahandishi wa habari baada ya kukagua eneo la tukio mapema leo katika kambi ya jeshi la JWTZ Gongo la Mboto yalikolipuka mabomu hayo.
Waziri wa Ulinzi Dr. Hussein Mwinyi akizungumza na mkuu wa JWTZ General Davis Mwamunyange na mnadhimu wa jeshi hilo mapema leo mara baada ya Raisi kuondoka eneo la tukio.
Majeruhi aliyefikishwa Hospitali ya Temeke akiwa hoi akisaidiwa.
Baadhi ya majeruhi wakiwa katika hospitali ya Temeke wakipatiwa huduma ya matibabu.
Nyumba iliyoharibiwa vibaya na mabomu hayo yaliyolipuka katika kambi ya jeshi la wananchi Gongo la Mboto jijini Daresalaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment