Thursday, December 23, 2010
WAZIRI NUNDU AWASHUKIA WATENDAJI TPA WANAOTAKA UTAJIRI WA HARAKAHARAKA KWA NJIA YA RUSHWA!!!
Waziri wa uchukuzi Omari Rashid Nundu (kushoto)na Naibu wa waziri wa wizara hiyo Mhandisi Athumani Mfutakamba(wa pili kushoto),wakimsikiliza kwa makini meneja wa kitengo cha kuhudumia makontena bandarini(TICTS),Donald Talawa(kulia)akiwaeleza namna kitengo hicho kinavyofanya kazi zake,alipotembelea kituo cha kitengo hicho kilichopo Ubungo jijini Daresalaam.
Waziri wa uchukuzi Omari Rashidi Nundu (kushoto)akikagua kituo cha kuhudumia makontena cha kampuni ya AMI,alipofanya ziara ya kukagua shughuli zinazohusiana na mamlaka ya bandari Tanzania (TPA)jijini Daresalaam.wapili ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo Grant Lendrum.
Mawakala wa kutoa magari bandarini wakitoa madukuduku yao mbele ya waziri Nundu wakati wa ziara hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment