Friday, December 3, 2010
MH UMMY MWALIMU AANZA KAZI KWA KUWA MGENI RASMI SHEREHE ZA WALEMAVU !!!
Mhe. Ummy Ali Mwalimu akimkabidhi Mtoto mwenye Ulemavu wa Miguu Baiskeli ya kumwezesha kutembea.Hii ilikuwa ni wakati wa Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu iliyoadhimishwa kitaifa huko Mkuranga. Jumla ya Baiskeli 50 Zimetolewa kwa Ajili ya kuwasaidia Watu wenye Ulemavu Wilayani humo.
Mhe.Ummy Ali Mwalimu akisoma Hotuba yake wakati
Siku hii ya Walemavu huko Mkuranga.
Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii, wanawake na watoto, Mhe.Ummy Ali Mwalimu,Mhe.Al-Shymaar wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mhe. Henry Orauya( Kulia) pamoja na Viongozi Wakuu wa Wilaya hiyo, mara baada ya kuwasili Wilayani hapo.
Sisi wananchi wenzako wa Tanga tunajivunia kwa Mh Raisi kukuchagua kuwa Naibu waziri na tunakutakia kila la heri katika kazi zako za Unaibu Waziri na katu usiutupe mkoa wako wa Tanga.Tanga Oyee!!!:-)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment