SIKILIZA NYIMBO ZA EASYMEN HAPA:


Electronic Press Kit
Quantcast

Tazama Small Interview ya Easymen Studio Hapa:

Tuesday, December 7, 2010

PETER MSECHU AMBAYE NI MSHINDI WA PILI TUSKER PROJECT FAME4 AWASILI JIJINI DAR LEO MCHANA NA KUPOKEWA KWA SHANGWE !!!


Mshindi wa pili wa Tusker project fame4 kutoka Tanzania Peter Msechu akiwapungia mkono baadhi ya mashabiki wake waliojitokeza kumpokea katika uwanja wa ndege wa mwalimu Nyerere Dar leo mchana.

Peter Msechu akiwa na mchumba wake anayeitwa Amalis katika picha ya Pozi.

Blog hii ya Esymen pamoja na studio ya muziki ya blog hii ijulikanayo kama 2MORROW RECORDZ iliyopo jijini Tanga ambapo tuliwahi kufanya baadhi ya kazi pamoja na wewe tunakupongeza kwa ushindi huo ulioupata.

No comments:

Post a Comment