SIKILIZA NYIMBO ZA EASYMEN HAPA:


Electronic Press Kit
Quantcast

Tazama Small Interview ya Easymen Studio Hapa:

Wednesday, December 1, 2010

DR GHARIB BILAL AADHIMISHA SIKU YA UKIMWI KITAIFA MKOANI MOROGORO !!!


Makamu wa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk Ghalib Bila,akikabidhi cheti na kikombe kwa muwakilishi wa shirika la champion kwa ushiriki wake bora katika maonesho ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani yaliyoadhimishwa kitaifa mkoani Morogoro leo.

wasanii wa kundi la vichekesho la Orijino komedi wakiwaburudisha wananchi wa mkoa wa Morogoro waliohudhuria maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri.

Makamu wa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk Mohamed Ghalib Bilali akilihutubia taifa kwenye maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani yaliyofanyika kitaifa katika uwanja wa jamhuri mkoani Morogoro.

No comments:

Post a Comment