WADAU NAWATAKIA SIKUU NJEMA YA X-MASS !! NITAKUWA KIMYA KIDOGO MPAKA BAADA YA X-MASS!!
Mimi Director wa Blog (Pashua)hii ya Eazymen nawatakia wadau wote Heri na fanaka katika kusherehekea sikukuu ya X-Mass. Nitakuwa kimya mpaka baada ya sikuu kwa hiyo wadau tuwiane radhi.
2morrow Recordz ni studio ya kisasa iliyopo katika jiji la Tanga,maeneo ya Nguvumali.Tunarekodi miziki ya aina yote.karibu sasa upate ofa maalum ya bei.
No comments:
Post a Comment