Ramsey(kushoto)akiwa na nguli wa Filamu nchini Steven Kanumba wakizungumza na waandishi wa habari juu ya filamu hiyo. Msanii maarufu wa Filamu toka Nigeria Ramsey Tokumbo Nouah ametinga nchini kurekodi filamu na wasanii mbalimbali wa Tanzania akiwemo Steven Kanumba.akizungumza na waandishi wa habari jana mchana katika Hotel ya Peacok jijini Dar,Ramsey amesema Filamu hiyo itakuwa ya aina yake.
No comments:
Post a Comment