TAARIFA NJEMA KWA WAPISHI WOTE WA KITANZANIA. Active chefs Association of Tanzania (acat 2011)
BAADA YA MAFANIKIO MAKUBWA YA BLOG YA ACTIVECHEF SASA NIMEAMUA KUANZISHA CHAMA CHA KITAALAMU CHA WAPISHI TANZANIA. CHAMA HIKI NI CHAMA KISICHO CHA KIBIASHARA.
NATOA WITO KWA NDUGU ZANGU WATANZANIA WAPISHI WA HAPA NYUMBANI NA WALIOKO NJE YA NCHI TUUNGANE NA TUJENGE CHAMA CHENYE NGUVU TUWEZE TAMBULIKA KATIKA ULIMWENGU WA MAPISHI DUNIANI.
KWASASA TAYARI WAMESHAPATIKANA WANACHAMA KUMI WATANZANIA TOKA SAUDI ARABIA, AMERICA, SWISS NA UK. NAWAKARIBISHA WOTE MJIUNGE NI BURE HAKUNA ADA YEYOTE. FOMU ZA KUJIUNGA TUMA EMAIL issakesu@gmail.com KISHA NITAKUATUMIA HARAKA NAWE UNAJAZ ANA KUSCAN KISHA UNANITUMIA. KUANZIA MWEZI UJAO TUTAKUA NA WEBSITE YA CHAMA NA EMAIL YA CHAMA IPO KATIKA MATENGENEZO.
No comments:
Post a Comment