LEO TULIPATA WAGENI KATIKA OFISI YETU YA KITUO CHA VIJANA NGUVUMALI JIJINI TANGA !!!
Hapa ni picha ya pamoja kati ya vijana wanachama wa kituo cha vijana Nguvumali jijini Tanga tukiwa katika picha ya pamoja na wageni waliotutembelea kuona kituo chetu pamoja na Studio yetu kubwa ya Kurekodi muziki inayojulikana kama 2MORROW RECORDZ.
2morrow Recordz ni studio ya kisasa iliyopo katika jiji la Tanga,maeneo ya Nguvumali.Tunarekodi miziki ya aina yote.karibu sasa upate ofa maalum ya bei.
No comments:
Post a Comment