Ili Kuweza kumpigia kura BRIDER KHAN awe mshindi kwenye shindano la Fiesta Super Nyota, Andika Neno FIESTA acha nafasi andika namba yake ya ushiriki ambayo ni 6 kisha tuma kwenda namba 15678. Hapo utakuwa umemuwezesha yeye na Mkoa wetu wa Tanga kuibuka na ushindi.
Kila ujumbe wa kumpigia kura utatozwa Tsh 49 tu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment