SIKILIZA NYIMBO ZA EASYMEN HAPA:


Electronic Press Kit
Quantcast

Tazama Small Interview ya Easymen Studio Hapa:

Friday, October 1, 2010

NYUMBA YA MASHINDANO YA BONGO STAR SEARCH 2010 YAZINDULIWA DAR !!!


Jajim maarufu wa BSS Salama Jabir kulia akiwa na Ritah Paulsen Mkurugenzi wa Benchmark Production wakati wa uzinduzi wa nyumba ya BSS uliofanyika jana jijini Dar es salaam na kushirikisha wadau mbalimbali wa muziki. Ni wakati mwingine tena ambapo shindano la (BSS) litaibua vipaji vya vijana wa Tanzania na kuwanufaisha katika maisha yao katika shindano hili la 2010, Tangu shindano hilo lianze limeibua vipaji vya wasanii wengi kupitia shindano hilo na sasa wanafanya vizuri katika anga za muziki wa kizazi kipya Bongofleva hapa nchini

Menene wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe kushoto na Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark ambayo ndiyo inaandaa shindano la Bongo Star Search BSS Ritah Paulsen wakawa katika picha ya pamoja na washiriki wa BSS wakati wa uzinduzi wa Nyumba ya BSS uliofanyika jijini Dar es salaam jana.

No comments:

Post a Comment