Pichani mimi Pashua na Mido Man mwenye Tshirt ya Man U tukishow love ndani ya Studio muda mfupi baada ya kuifungua rasmi.Studio hii inajulikana kama 2morow recodz iko jijini Tanga maeneo ya Nguvumali.Tunawakaribisha wanamuziki wanaofanya aina zote za Muziki.Pia tunawakaribisha wasanii wenye vipaji kwa ajili ya Lebo.Sunday, June 20, 2010
SIKU YA UFUNGUZI RASMI WA STUDIO YETU YA AUDIO BAADA YA KUWA KATIKA VIUKARABATI KWA MUDA WA MIEZI 3 !!!
Pichani mimi Pashua na Mido Man mwenye Tshirt ya Man U tukishow love ndani ya Studio muda mfupi baada ya kuifungua rasmi.Studio hii inajulikana kama 2morow recodz iko jijini Tanga maeneo ya Nguvumali.Tunawakaribisha wanamuziki wanaofanya aina zote za Muziki.Pia tunawakaribisha wasanii wenye vipaji kwa ajili ya Lebo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






No comments:
Post a Comment