Pichani baadhi ya mgari yakiwa yamekwama kufuatia barabara hiyo kuwa mbovu na kusababisha wananchi kupata adha kubwa ya usafiri kwani magari mengi yamekuwa yakishindwa kupita kufuatia matope makubwa yaliyotokana na vifusi vilivyosambazwa katika barabara hiyo baada ya kunyesha mvua kubwa.Saturday, June 12, 2010
BARABARA YA TANGA - PANGANI YAZIDI KUWA KERO KWA WANANCHI WANAOSAFIRI KUPITIA BARABARA HIYO!!!
Pichani baadhi ya mgari yakiwa yamekwama kufuatia barabara hiyo kuwa mbovu na kusababisha wananchi kupata adha kubwa ya usafiri kwani magari mengi yamekuwa yakishindwa kupita kufuatia matope makubwa yaliyotokana na vifusi vilivyosambazwa katika barabara hiyo baada ya kunyesha mvua kubwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






No comments:
Post a Comment